iqna

IQNA

chuki dhidi ya uislamu
Jinai Marekani
VERMONT (IQNA) - Polisi wa Jimbo la Vermont waliripoti Jumapili kwamba vijana watatu wa Kipalestina walipigwa risasi na kujeruhiwa karibu na Chuo Kikuu cha Vermont.
Habari ID: 3477954    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/27

Chuki dhidi ya Uislamu
UHOLANZI (IQNA)- Uchaguzi mkuu wa Uholanzi ulifanyika Jumatano, Novemba 22 nchini humo ili kubaini nani ataongoza serikali ijayo ambayo inapaswa kuchukua mamlaka nchini baada ya kuondoka Mark Rutte, ambaye amekuwa waziri mkuu kwa miaka 13.
Habari ID: 3477945    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/25

Chuki dhidi ya Uislamu
BERLIN (IQNA) – Chuki dhidi ya Uislamu ni tatizo kubwa nchini Ujerumani, na kulishughulikia kunahitaji ushiriki wa makundi makubwa ya jamii, mtaalamu mashuhuri amesema.
Habari ID: 3477939    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/24

Chuki dhidi ya Waislamu
WASHINTON, DC (IQNA) - Mwanamume aliyekuwa akiuza bidhaa zinazohusiana na imani ya Kiislamu nje ya msikiti huko Providence, Rhode Island, alipigwa risasi na kujeruhiwa Ijumaa asubuhi, kulingana na polisi wa eneo hilo.
Habari ID: 3477907    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/18

Chuki dhidi ya Uislamu
OTTAWA (IQNA) - Mwanaharakati wa Kiislamu wa Kanada (Canada) alielezea kiwango cha chuki dhidi ya Uislamu na ukandamizaji Waislamu nchini humo katika wiki za hivi karibuni kuwa haujawahi kutokea.
Habari ID: 3477894    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/15

Waislamu Marekani
WASHINGTON, DC (IQNA) - Ripoti mpya inasema kwamba matukio ya chuki dhidi ya Waarabu na Waislamu nchini Marekani yameongezeka hadi kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa tangu vita kati ya Israel na Wapalestina kuzuka katika Ukanda wa Gaza mwezi uliopita.
Habari ID: 3477872    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/10

Chuki dhidi ya Uislamu
NEW YORK (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesikitishwa na kuongezeka vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na pia kile alichokitaja kuwa ni 'chuki dhidi ya Uyahudi'.
Habari ID: 3477865    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/09

Chuki dhidi ya Uislamu
BERLIN (IQNA)- Utafiti mpya umefichua kuwa, asilimia 40 ya wanaume Waislamu nchini Ujerumani wanakabiliwa na vitendo vya ubaguzi katika maisha yao ya kila siku, huku hujuma na mashambulio ya kibaguzi dhidi ya Waislamu yakiripotiwa kukithiri katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
Habari ID: 3477864    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/09

Chuki dhidi ya Uislamu
LONDON (IQNA) - Msikiti mmoja huko Oxford umelengwa na "shambulio la chuki dhidi ya Uislamu na kigaidi" kufuatia jamii ya Waislamu kuunga mkono Wapalestina wanaoteswa na Israel huko Gaza.
Habari ID: 3477812    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/30

WASHINGTON, DC (IQNA) - Mvulana mwenye umri wa miaka 6 ambaye alidungwa kisu na mwenye nyumba katika Kitongoji cha Plainfield wiki jana alizikwa Jumatatu baada ya ibada ya mazishi katika Wakfu wa Msikiti huko Bridgeview.
Habari ID: 3477750    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/18

OTAWWA (IQNA) - Mwanaume huko Toronto, Kanada, anatafutwa na polisi kwa kuharibu msikiti mara mbili ndani ya wiki moja.
Habari ID: 3477734    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/15

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) -Mkutano wa kimataifa kuhusu chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) umefanyika nchini Qatar huku mmoja wa waandalizi wake akitoa wito kwa juhudi za pamoja za kukabiliana na ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu na athari zake "haribifu".
Habari ID: 3477683    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/02

Chuki dhidi ya Uislamu
DOHA (IQNA) - Qatar itakuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa kujadili kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) kwa namna zote na kuchunguza sababu za kuongezeka kwa chuki hizo.
Habari ID: 3477663    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/28

Chuki dhidi ya Uislamu
AMSTERDAM (IQNA) –Rais wa taasisi kuu ya Kiislamu Uholanzi anasema chuki dhidi ya Uislamu inaweza kuonekana katika taasisi zote za serikali nchini humo.
Habari ID: 3477642    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/23

Waislamu Australia
CANBERRA (IQNA) – Sajili ya Vitendo vya Chuki Dhidi ya Uislamu Australia (IRA) imepongeza marufuku ya udhalilishaji kidini huko New South Wales.
Habari ID: 3477503    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/27

Chuki dhidi ya Uislamu
WASHINGTON, DC (IQNA) - Tishio la bomu lilitolewa dhidi ya Msikiti wa Mohammed (Masjid Muhammad), huko Washington, DC, wakati wa sala ya Ijumaa.
Habari ID: 3477462    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/19

Chuki dhidi ya Uislamu
STOCKHOLM (IQNA) - Polisi huko Gothenburg, Uswidi, wanachunguza kesi ya uhalifu wa chuki baada ya msikiti mmoja kupokea bahasha ya kutisha iliyokuwa na unga mweupe siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3477460    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/19

Waislamu Ulaya
BERLIN (IQNA)-Mamilioni ya Waislamu nchini Ujerumani wana wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa wimbi la chuki dhidi ya Uislamu na hujuma na mashambulio dhidi ya misikiti nchini humo.
Habari ID: 3477456    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/18

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
WASHINGTON, DC (IQNA) - Baraza la Chama cha Wanasheria wa Marekani (ABA), chombo kikubwa zaidi cha wanasheria nchini Marekani, kimepitisha azimio la kulaani chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
Habari ID: 3477413    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/10

Chuki dhidi ya Uislamu
LONDON (IQNA) - Matukio ya chuki dhidi ya Uislamu nchini Uingereza yameongezeka zaidi ya mara mbili katika muongo mmoja.
Habari ID: 3477312    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/20