IQNA

Kofi Annan, Katibu Mkuu wa zamani wa UN aaga dunia

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan amefariki dunia nchini Uswisi baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Wanandoa Waislamu wanyimwa uraia wa Uswisi kwa kupinga kupeana mkono na ajinabi

TEHRAN (IQNA)- Mji wa Lausanne nchini Usiwisi umewazuia wanandoa Waislamu kuchukua uraia wa nchi hiyo kutokana na msimamo wao wa kukata kupeana mkono na...

Nakala milioni moja za Qur'ani zasambazwa katika Msikiti wa Makka msimu wa Hija

TEHRAN (IQNA)- Nakala milioni moja za Qur'ani Tukufu zimesambazwa miongoni mwa Waislamu waliofika katika Msikiti wa Makka maarufu kama Masjid al-Haram...

Misikiti miwili yahujumiwa Brimingham, Uingereza

TEHRAN (IQNA)- Misikiti miwili imehujumiwa katika mji wa Birmingham nchini Uingereza katika tukio la chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
Habari Maalumu
Vizingiti vya Saudia vyawazuia Waqatar kutekeleza Ibada ya Hija

Vizingiti vya Saudia vyawazuia Waqatar kutekeleza Ibada ya Hija

TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Qatar hawataweza kutekeleza Ibada ya Hija kwa mwaka wa pili mfululizo kutokana na idadi kubwa ya vizingiti ambavyo vimewekwa...
12 Aug 2018, 14:53
Waislamu China waandamana kupinga mpango wa kubomoa msikiti

Waislamu China waandamana kupinga mpango wa kubomoa msikiti

TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya Waislamu nchini China wamekusanyika katika msikiti mmoja kaskazini magharibi mwa nchi hiyo katika maandamano nadra ya kupinga...
11 Aug 2018, 06:07
Watu 50 wauawa Yemen baada ya Saudia kudondoshea mabomu basi la watoto wa shule ya Qurani

Watu 50 wauawa Yemen baada ya Saudia kudondoshea mabomu basi la watoto wa shule ya Qurani

TEHRAN (IQNA)-Ndege za muungano vamizi wa Saudia zimeshambulia basi lililokuwa limebeba watoto ambao ni wanafunzi wa Qur’ani kati mji wa Dhahiyan wa jimbo...
10 Aug 2018, 01:29
Chuki dhidi ya Uislamu katika chama tawala nchini Uingereza

Chuki dhidi ya Uislamu katika chama tawala nchini Uingereza

TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amekosolewa upya kwa kutochukua hatua za kutosha za kukabiliana na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu...
10 Aug 2018, 01:12
Waislamu 90 Marekani wanawania viti vya uongozi

Waislamu 90 Marekani wanawania viti vya uongozi

TEHRAN (IQNA)- Waislamu zaidiya 90 nchini Marekani wanawania nafasi mbali mbali za uongozi katika ngazi za mitaa, jimbo na kitaifa mwaka huu.
07 Aug 2018, 15:02
Waislamu Kenya wapinga kuteuliwa balozi asiyekuwa Mwislamu kuwakilisha nchi hiyo Saudia

Waislamu Kenya wapinga kuteuliwa balozi asiyekuwa Mwislamu kuwakilisha nchi hiyo Saudia

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Kenya wamepinga hatua ya Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo kumteua mwanadiplomasia asiyekuwa Mwislamu kuwa balozi wa nchi...
05 Aug 2018, 14:35
Magaidi watekeleza mauaji wakati wa Sala ya Ijumaa msikitini Afghanistan,Marekani yalaumiwa

Magaidi watekeleza mauaji wakati wa Sala ya Ijumaa msikitini Afghanistan,Marekani yalaumiwa

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wameushambulia msikiti wakati wa Swala ya Ijumaa katika mkoa wa Paktia mashariki mwa Afghanistan na kuua waumini wasiopungua...
04 Aug 2018, 17:03
Mahakama ya Uingereza yatambua sheria za Kiislamu kwa mara ya kwanza

Mahakama ya Uingereza yatambua sheria za Kiislamu kwa mara ya kwanza

TEHRAN (IQNA)- Mahakama ya Uingereza kwa mara ya kwanza imetambua sheria za Kiislamu baada ya kutoa hukumu ambayo imeafiki ndoa iliyofanyika kwa mujibu...
03 Aug 2018, 16:34
Picha