iqna

IQNA

jeshi
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Hatua ya mwisho ya Mashindano ya 42 Qur'ani Tukufu ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) yamezinduliwa katika mji mtakatifu wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3478071    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/21

Tahariri
TEHRAN (IQNA)- Nchini Sudan hali si shwari ambapo habari kutoka nchini humo zinaonyesha kuendelea mapigano kati ya jeshi la Sudan na vikosi vya radiamali ya haraka na kuzusha wasiwasi wa kutokea mapinduzi katika nchi hiyo ya Kiafrika.
Habari ID: 3476879    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/16

TEHRAN (IQNA)- Milio ya risasi na milipuko imesikika katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum, baada ya siku kadhaa za mvutano kati ya kikosi cha radiamali ya haraka na jeshi la nchi hiyo.
Habari ID: 3476873    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/15

Rais Ebrahim Raisi katika gwaride la Siku ya Jeshi
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uwezo wa ma jeshi ya Iran ni uwezo wa kumzuia adui na kuongeza kuwa, uchokozi hata mdogo zaidi wa maadui kama vile utawala wa Kizayuni wa Israel hautafumbiwa macho na vikosi vya ulinzi vya Iran.
Habari ID: 3475137    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/18

TEHRAN (IQNA)- Mtu moja ameuawa jana Sudan wakati maelfu ya wananchi walipoandamana katika mji mkuu Khartoum na miji mingine mikubwa nchini humo kupinga utawala wa ki jeshi nchini humo.
Habari ID: 3474875    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/31

Brigedia Jenerali Mohammad Baqeri
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Kamandi ya vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, "hatujaghafilika hata kwa lahadha na sekunde moja kustawisha uwezo wa kiulinzi na nguvu za ki jeshi za kuzuia hujuma dhidi ya nchi."
Habari ID: 3474675    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/14

TEHRAN (IQNA)- Jeshi Sudan ambalo limenyakua uongozi wa nchi hiyo kufuatia mapinduzi ya hivi karibuni linaendelea na mazunguumzo na Abdalla Hamdok, Waziri Mkuu aliyeondolewa madarakani.
Habari ID: 3474512    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/04

TEHRAN (IQNA)- Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa tangu uje utawala wa Kizayuni karibu na mipaka ya nchi, Iran imezidi kuguswa na suala la usalama wa mpaka wake wa kaskazini magharibi na kwa sababu hiyo harakati za utawala huo haramu zinafuatiliwa kikamilifu.
Habari ID: 3474367    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/01

Kiongozi Muadhamu katika ujumbe kwa mnasaba wa Siku ya Jeshi nchini Iran
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe maalumu kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Jeshi nchini Iran.
Habari ID: 3473824    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/17

TEHRAN (IQNA) - Jeshi la Afrika Kusini limefanyia marekebisho kanuni zake za uvaaji na sasa limewaruhusu askari wanawake wa Kiislamu nchini humo kuvalia vazi la stara la hijabu wakiwa kazini.
Habari ID: 3473600    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/29

Vita dhidi ya janga la corona
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima hulinda kiwango cha uwezo wake wa kiulinzi na kumzuia adui na wakati huo huo huwa pamoja na wananchi wakati wa maafa au majanga na huwasaidia katika kutatua matatizo yao.
Habari ID: 3472673    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/17

TEHRAN (IQNA) - Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lina mpango wa kuanzisha vituo 50 vya kuhifadhi Qur'ani (Darul Tahfidhul Qur'an) katika vitengo kadhaa vya jeshi hilo.
Habari ID: 3472039    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/11

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Marekani inahasimiana na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kwa sababu jeshi hilo limekuwa mstari wa mbele katika kuilinda Iran na Mapinduzi ya Kiislamu na kuongeza kuwa: "Kwa miaka 40 sasa, Marekani na maadui wengine wajinga wamekuwa wakifanya kila wawezalo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lakini wameshindwa."
Habari ID: 3471906    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/09

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Duru ya pili ya Mashindano ya Qur'ani ya Ma jeshi ya Iraq wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika Jumanne.
Habari ID: 3471754    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/28

TEHRAN (IQNA)- Tume wa Ma jeshi ya Kifederali Ujerumani, imetaka Maimamu waajiriwe katika jeshi la nchi hiyo ili kuwahudumia wana jeshi Waislamu.
Habari ID: 3471434    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/18

Ayatullah Sayyid Ali Khamenei
TEHRAN (IQNA)-Amiri jeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwezo na nguvu za kiulinzi za Iran si kitu cha kujadiliwa kabisa kama ambavyo zana zozote za ulinzi na kitu chochote kile kinacholeta nguvu za taifa la Iran si kitu cha kufanyiwa muamala wa aina yoyote ile.
Habari ID: 3471230    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/25

IQNA-Maafisa wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameshiriki katika Sala ya Ijumaa katika mji mkubwa wa Tanzania, Dar es Salaam.
Habari ID: 3470641    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/29

Shirika moja la kutetea haki za binadamu Nigeria limetoa wito kwa serikali ya nchi hiyo kuwafikisha kizimbani wana jeshi waliohusika katika kuwaua Waislamu wa madhehebu ya Shia mwezi Desemba mwaka jana.
Habari ID: 3470516    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/11

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kusimama kidete, kutomfuata adui na kulinda utambulisho wa kimapinduzi na Kiislamu ni sababu kuu za kuwa na nguvu mfumo wa Kiislamu na taifa la Iran na kwamba, Marekani na madola mengine makubwa yamekasirishwa mno na jambo hili.
Habari ID: 3470334    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/24

Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nguvu na uwezo wa Iran hauko dhidi ya majirani na nchi za ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3470251    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/17