Sura za Qur'ani Tukufu /91
TEHRAN (IQNA) – Kuapa kwa kitu hutokea wakati suala muhimu sana litatajwa. Katika Surah Ash- Shams ya Qur'ani Tukufu, Mwenyezi Mungu anaapa mara 11 kabla ya kuashiria jambo muhimu sana.
Habari ID: 3477232 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/03
TEHRAN (IQNA)- Tafsiri mpya ya Qur'ani inayojulikana kama 'Tafsiri ya Shams ' imezinduliwa katika ofisi za Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA) mjini Tehran.
Habari ID: 3471774 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/16