iqna

IQNA

buhari
Ugaidi
TEHRAN (IQNA) Watu zaidi ya 50 wakiwemo wanawake na watoto, wameuawa baada ya genge lenye silaha kushambulia kanisa moja ya kikatoliki kaskazini magharibi mwa Nigeria wakati wa ibada ya Jumapili.
Habari ID: 3475341    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/06

TEHRAN (IQNA)- Rais Muhamadu Buhari huhudhuria darsa za tafsiri ya Qur'ani Tukufu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473837    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/21

TEHRAN (IQNA) – Mamia ya Waislamu wa Nigeria wameandamana Abuja wakitaka serikali imuachilie huru Kiongozi wa Haraakti ya Kiislamu, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Habari ID: 3473239    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/07

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wa Boko Haram mapema leo wameshambulia mji katika eneo la kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuwalazimu wakazi kutoroka masaa machache tu kabla ya kuanza upigaji kura katika uchaguzi mkuu.
Habari ID: 3471850    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/23

Waislamu nchini Nigeria wameendelea kufanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo na kuelezea wasiwasi walionao kuhusiana na hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
Habari ID: 3470554    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/09

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei kabla ya adhuhuri ya leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria aliyeko safarini hapa nchini.
Habari ID: 3456282    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/23

Waislamu 26 wamepoteza maisha baada ya magaidi wa kundi la kitakfiri la Boko Haram kulipua bomu ndani ya msikiti mmoja katika mji wa Maiduguri kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 3309578    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/31

Rais mteule wa Nigeria Muhammadu Buhari
Rais mteule wa Nigeria amesema kuwa, hakuna dini yoyote ile inayounga mkono jinai zinazofanywa na kundi la kitakfiri la Boko Haram.
Habari ID: 3233862    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/30