iqna

IQNA

liberia
Waislamu Liberia
TEHRAN (IQNA) – Uongozi wa Shule ya Upili ya Kiarabu na Kiingereza ya Vijana ya Yaya Keita umetoa zawadi ya kontena la futi 40 la Misahafu (nakala za Qur'ani Tukufu) kwa Baraza la Kitaifa la Waislamu la Liberia.
Habari ID: 3476060    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/09

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Liberia inayoongozwa na Rais George Weah imechukua hatua ya aina yake kuruhusu kuwaruhusu wanafunzi wa kike Waislamu wake kuvaa Hijabu wakiwa chuoni wakati wa kuadhimisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475161    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/24

Inna Lillah wa Inna Ilayi Rajioun
TEHRAN (IQNA) - Watoto wasiopungua 27 wamepoteza maisha nchini Liberia baada ya madrassah ya yao ya bweni kuteketea moto nje ya mji mkuu Monrovia.
Habari ID: 3472139    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/19

Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu yamefanyika hivi karibuni nchini Liberia katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470402    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/20