iqna

IQNA

Warsaw
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Kimataifa ya Maulama wa Kiislamu imelaani vikali mkutano wa hivi karibuni baina ya maafisa wa ngazi za juu wa nchi za Kiarabu na Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel huko Warsaw , Poland.
Habari ID: 3471846    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/19