IQNA

Kumalizika Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tehran -PICHA

Maonyesho 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yalifikia tamati Jumanne usiku. Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran kila mwaka huandaliwa na Wizara ya Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.

.