Vikao vya kusoma Qur’ani Tukufu hufanyika mara kwa mara katika nchi hiyo ya Afrika kaskazini.
Klipu tuliyowaandalia leo ni ya qiraa za Qur’ani Tukufu za wasomaji maarufu wa Algeria wakiwemo Abdul Hakim al-Jazaeri, Farouq al-Mahi, Tawfiq bin Shaaban, Murad Sabati, Lahassan Aliq, Yaseen al-Jazaeri, Hisameddin Ibadi, Yaseen Barakani, Yaseen Zaidani, na Saeed Dabah.