IQNA

Qiraa ya Juzuu ya Pili ya Qur'ani Tukufu katika Haram ya Qamar Bani Hashim (AS)

Kila mwaka wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Idara ya Haram Takatifu ya Qamar Bani Hashim, Abul Fadhl Abbas (AS), huandaa qiraa ya Juzuu moja kila siku katika eneo hilo takatifu.