IQNA

Chini ya Kivuli cha Jua

Filamu-Lahada yenye mvuto ya Wazimbabwe wapenzi na maashiki wa Imam Ridha AS wakati wakipokea bendera yenye baraka na karama za mtukufu huyo. Hakuna shaka mapenzi na mahaba kwa Imamu huyo hayajui mipaka wala jiografia.